Tume ya uchunguzi, yabaini watoto wengi kunyanyaswa,
Wafanyabiashara wamshinikiza Waziri Mkuu Australia kufungua mipaka ya nchi,
Na katika michezo, Muaborigino wa kwanza wa kike kuanza kuchezesha mpira wa kikapu wakati huko Uingereza, wachezaji wa zamani wataka mdhibiti huru kwenye soka.