Taarifa ya Habari 18 Januari 22

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Siku mbaya zaidi ya janga hili: Australia ikirekodi vifo 74 vya COVID-19 Wakati Waziri wa afya Kerry Chant aonya, idadi ya vifo vya virusi hivyo jimbo la NSW kuongezeka


Jimbo la Victoria latangaza dharura inayojulikana kama Code Brown huku wimbi la COVID-19 likichukua mkondo wake

KIMATAIFA

Nchini Tanzania, Baba atiwa mbaroni kwa kuwabaka binti zake watatu

Uganda yakabiliwa na uhaba wa mafuta ya petroli

Huko nchini Kenya kuna taarifa kuwa, Ziwa Naivasha hatarini kunyauka kutokana na mabadiliko ya tabianchi

 MICHEZO

Nyota wa Arsenal arudishwa nyumbani kutokana na maradhi

Nchini Tanzania, Simba yalambishwa mchele wa Uyole Mbeya


Share