Taarifa ya Habari 16 Januari 22

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Fukwe za jimbo la NSW na Queensland zafungwa kuhofia tsunami wakati Australia inaripoti vifo 40 vipya vya COVID-19 na huku Victoria ikipokea 'kundi kubwa' vipimo vya haraka yaani RAT


KIMATAIFA

Odinga kuanza rasmi kampeni yake katika mji wa Rais Kenyatta

Tsunami yaikumba Tonga baada ya mlipuko mkubwa wa volcano

MICHEZO

Serikali ya Morrison inashutumiwa kumtumia Novak Djokovic 'kuvuruga' maswala ya COVID-19

Man UTD yavutwa shati tena


Share