Taarifa ya Habari 13 Juni 21

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Mwili wapatikana kwenye nyumba iliyoharibiwa na moto, huku shinikizo laendelea kuikomboa familia ya Kitamil kutoka kizuizini.


Na mifuko ya plastiki nyepesi na mirija ya kunywea vinywaji laini kupigwa marufuku jimboni New South Wales na katika anga za kimataifa, Risasi zaendelea kurindima huko Marekani wakati UNICEF yatoa wito kwa mataifa kusaidia chanjo ya COVID-19 kwa nchi maskini.

 


Share