Jimbo la Victoria kuweka vituo vya chanjo mashuleni
Na wakazi wa Sydney Magharibi wakasirishwa na wakazi wa maeneo ya ufukweni kulanda landa.
Na kwenye Taarifa za kimataifa tunaarifiwa kwamba,
Marekani yawakumbuka waliopoteza maisha 9/11
Na wafungwa wa Kipalestina waliotoroka, wakamatwa Israel
Michezo
Timu ya Yanga yaanza kindumbwendumbwe cha ligi mabingwa barani Afrika leo
Ronaldo na Eduardo waanza vyema ligi kuu ya Uingereza