Taarifa ya Habari 11 Januari 22

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

'Maafa yanayongoja kutokea': Wafungwa sita wa Villawood wamepatikana na virusi vya COVID-19


KIMATAIFA

Viongozi Somalia wakubaliana kufanya uchaguzi

Biden afanya mazungmzo na Waziri Mkuu Ethiopia

MICHEZO

Novak Djokovic ashinda kuachiliwa kutoka kizuizini, lakini bado tishio la kufungiwa kwa miaka mitatu kuingia Australia lamuandama. 

Na huko Afrika, Wenyeji Camroon waanza vyema Afcon.


Share