Superannuation ni nini na, ni kwanini ni muhimu kwako?

Hela zawekwa kwenye akiba

Hela zawekwa kwenye akiba Source: Getty Images

Superannuation ni mpango wa lazima wakuweka akiba, ulio undwa kuwasaidia wa Australia kuokoa hela ambazo wanaweza tumia watakapo staafu.


Wakati mfumo wa Superannuation unaweza kuwa njia fanisi yaku okoa hela za ushuru katika maisha ya ustaafu, wataalam wanapendekeza kutilia maanani vitu kadhaa ili uweze pata faida kamili kutoka super yako.

Unaweza zungumza na shirika la Services Australia’s Financial Information Service, ambalo hutoa huduma ya taarifa za huduma ya fedha nchini Australia, kupitia namba hii 131 202 kwa taarifa za bure kuhusu fedha katika lugha yako.

Kwa taarifa zaidi kuhusu superannuation, tembelea tovuti ya Money Smart kwa anwani hii: moneysmart.gov.au.

 


Share