Ila kama sekta zingine zote, shule zinazofunza kuogelea zime lazimishwa kufungwa kwa sababu ya vizuizi vya coronavirus.
Idhaa ya Kiswahili ya SBS inakuletea taarifa kuhusu jinsi watoto wanaweza jifunza usalama wa maji, wakati wa janga na, madhara yakufungwa kwa shule zinazo funza kuogelea zinaweza sababisha kwa wa Australia.