Shinikizo yaongezeka kwa serikali ya Australia ifunge shule zote nchini

Mwanafunzi afikishwa katika shule ya PLC Sydney

Mwanafunzi afikishwa katika shule ya Presbyterian Ladies College mjini Sydney Source: SBS

Wakati Uingereza imechukua hatua yakufunga shule zote, shinikizo linaendelea kuongezeka kwa serikali ya Australia ichukue hatua hiyo pia.


Ila kwa sasa serikali imesema wanafunzi wanastahili baki shuleni, na wazazi wao wabaki kazini.

Hata hivyo, baadhi ya shule binafsi zimeanza kuhamishia mafunzo mtandaoni.


Share