Shinikizo laongezeka kwa msaada utolewe kwa wanafunzi wakimataifa nchini

Turbans4Australia

Shirika la Turbans4Australia lagawa vyakula, kwa wanafunzi wakimataifa wanao kabiliwa kwa wakati mgumu kwa sababu ya COVID-19 Source: SBS

Wakati vyuo na taasisi za elimu ya juu zimefungwa wakati wa janga la coronavirus, wanafunzi wengi wakimataifa wanakabiliwa kwa wakati mgumu sana.


Wanafunzi hao hawafuzu kupokea malipo ya JobSeeker au JobKeeper ila, baadhi yaserikali zamajimbo na wilaya zinatoa msaada wakifedha.

Sasa shinikizo limeongezeka kwa serikali ya New South Wales nayo itoe msaada huo.

Na unaweza endelea kupokea taarifa mpya kuhusu coronavirus kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share