Utafiti mpya umepata kuwa viwango vya ukosefu wa kazi miongoni mwa familia, umeongezeka mara mbili na watoto wana kabiliwa na madhara hayo kwa muda mrefu.
Shinikizo la ajira linalosababishwa na coronavirus lawaathiri watoto wengi Australia

Source: AAP
Janga la COVID-19 lime sababisha ongezeko ya idadi yawa Australia wanao kabiliwa na wakati mgumu kifedha, kupitia kupoteza ajira au kupungua kwa masaa ya kazi pamoja na mishahara yao.
Share