Sherehe za Eid wakati wa janga la Coronavirus

Mwanamke aandaa chakula cha Eid akitazama simu

Mwanamke aandaa chakula cha Eid akitazama simu nchini Malaysia Source: E+

Waislamu kote nchini Australia wameadhimisha Eid, ila wakati bado kuna vizuizi vya Covid-19, maadhimisho ya Eid yatakuwa tofauti kuliko ya miaka ya nyuma.


Hata hivyo, viongozi wa jamii yawaislamu wana wahamasisha waumini, waepuke vikundi vya watu na waombee nyumbani.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share