Serikali yatangaza mageuzi ya ziada kwa malipo ya JobKeeper

Bango laonesha tangazo ya mauzo yakufunga duka mjini Melbourne

Bango laonesha tangazo ya mauzo yakufunga duka mjini Melbourne Source: AAP

Vikundi vya biashara vimesema mageuzi ya hivi karibuni ya serikali ya shirikisho kwa mfumo wa JobKeeper, yanayo lenga jimbo la Victoria ambalo linaendelea kupata pigo toka virusi na mageuzi hayo yatahakikisha watu wengi wanabaki kazini.


Hatua yakufunga shughuli mjini Melbourne yenye thamani yamabilioni ya dola, imesababisha serikali ya shirikisho icheleweshe mipango yakuweka kikomo kwa mfumo huo.

 

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share