Lengo la app hiyo nikufuwafuatilia walio kutana na mtu mwenye virusi vya COVID-19. Kwa upande wake serikali ya shirikisho imesema sheria ya app hiyo, itafikishwa bungeni katika kikao cha wiki ya tarehe 11 Mei 2020.
Utafiti mpya kutoka taasisi ya Australia umeonesha kuwa, asilimia 45 yawa Australia, umesema kuwa wata pakua nakutumia app hiyo, wakati asilimia 28 wamesema hawata ipakuwa app hiyo. Na asilimia 27 hawakuwa na uhakika kuhusu watakacho fanya kuhusu app hiyo.
Na unaweza endelea pata taarifa kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus.