Agosti 10 ni usiku wa sensa, na data itakayo kusanywa miongoni mwa watu milioni 25 itasaidia serikali, biashara na vikundi vya jamii kufanya maamuzi ya busara kuhusu miundombinu na huduma zawa Australia.
Sensa 2021: Kwa nini, na jinsi yakushiriki

Walimu na wanafunzi mjini Melbourne, wasaidia wahamiaji, na wenye matatizo ya kiingereza kujaza fomu za sensa 2021. Source: WILLIAM WEST/AFP via Getty Images
Watu nchini Australia hujibu maswali kadhaa kuhusu umri, tamaduni, dini, ukoo, elimu yao na kadhalika, katika sensa ya taifa kila miaka mitano.
Share