Wanachama wa shirika la Kenya Australia Chamber of Commerce, wamejitwika jukumu lakuwasaidia wajane na mayatima, ambao wanaishi katika mtaa wamabanda wa Mathare, mjini Nairobi Kenya.
Wajane namayatima hao, ni baadhi ya kundi la watu ambalo litaathiriwa zaidi na virusi vya corona, iwapo patakuwa mlipuko wa virusi hivyo katika eneo hilo la Mathare.