Nyota wa Hip Hop barani Afrika Rosa Ree, alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu changamoto ambazo virusi vya Coronavirus, vimezua katika sanaa na jinsi yeye kama msanii anavyo kabiliana na changamoto hizo.
Rosa Ree afunguka kuhusu madhara ya Coronavirus kwa Sanaa

Nyota wa hip hop Rosa Ree Source: Rosa Ree
Janga la coronavirus limeathiri kila mtu na hali zote za maisha duniani kote.
Share