Ramadan ya mwaka huu itakuwa tofautia kuliko zingine katika historia

Viongozi waki Islamu waongoza ibada ya Ramadan ndani ya msikiti

Viongozi waki Islamu waongoza ibada ya Ramadan ndani ya msikiti Source: SBS

Viongozi wakisiasa najamii, wana ihamasisha jamii yawaislamu, wadumishe itifaki za umbali katika jamii, mwezi mtukufu wa Ramadani unapo anza.


Wito huo umejiri wakati mashirika ya misaada yakiislamu, yameripoti ongezeko la maombi ya msaada wakati huu wa janga la COVID-19, watu binafsi pamoja na biashara ziki kabiliana na wakati mgumu, wanapo jiandaa kushiriki katika Ramadan.

Ramadan itaadhimishwa hadi tarehe 24 Mei, wakati inatarajiwa vizuizi vitaregezwa, na watu wanaweza jumuika kusherehekea Eid, pengine kwa hali tofauti na kabla.


Share