Kujua jinsi amri ya mamlaka imepokewa na wakaaji wa Wollongong, Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na Bw Pasi ambaye aliweka wazi hisia zawakaaji wenza wa Wollongong, kwa amri ya makatazo na hatua zingine zakudhibiti usambaaji wa virusi hivyo vya COVID-19.
Pasi:"Watu wa Wollongong tuna adhibiwa kwa dhambi za watu wa Sydney."

Picha ya fukwe na maeneo ya jiji la Wollongong Source: Wollongong 2022
Wakaaji katika kanda ya Wollongong wamejipata chini ya makatazo na vizuizi vyaku kabiliana na usambaaji wa COVID-19, baada ya ongezeko ya kesi hizo katika maeneo ya Sydney jimboni New South Wales.
Share