Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi

Australia Explained – personal loans

Australia Explained – personal loans. Applying for a personal loan. Source: Getty / Getty Images/jayk7

Wakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.


Hata hivyo, kabla yaku tia saini makubaliano ya mkopo, kuna mambo kadhaa mhimu unastahili zingatia.

Mkopo binafsi hukuruhusu kukopa kiasi cha hela ambacho unastahili lipa, pamoja na riba kwa muda fulani.

Kawaida watu wengi huzingatia kuomba mkopo binafsi, kwa kitu maalum sawa vile Andrew Dadswell kutoka kitengo cha Moneysmart cha shirika la ASIC ((Australian Securities & Investments Commission)) ana elezea.

Moneysmart.gov.au is a Federal Government website helping Australians make informed financial decisions.

Share