Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Bi Nancy alichangia maoni yake kuhusu hatua ambazo serikali ya jimbo la New South Wales imechukua, kukabiliana na usambaaji wa virusi vya COVID-19 ndani ya jamii.
Nancy"Nivizuri kuzuia kuliko kujaribu kutengeneza, wakati janga imeharibu"

Fukwe ya Tamarama mjini Sydney ikiwa bila watu. Source: Getty Images
Wakaaji wamaeneo ya Sydney, wame anza wiki yatatu yamakatazo na vizuizi vya kukabiliana na Coronavirus.
Share