Takwimu za hivi karibuni za ABS zinaonyesha kuwa kiwango cha ukosefu wa ajira kimeongezeka hadi asilimia 6.2 ingawa wachumi wengine wanapendekeza njia tofauti ya kuhesabu ingechora ukweli wa mbali kabisa.
Baraza la Wakimbizi la Australia, pamoja na asasi zake 186, linaiuliza serikali kutoa msaada wa kimsingi kwa wamiliki wa visa za muda mfupi walio hatarini ikiwa ni pamoja na wanafunzi wa kimataifa, wanaotafuta hifadhi, wafanyakazi wahamiaji wa muda na wakimbizi.
Kwa ushauri wa bure wa kisheria hapa NSW, piga simu kitengo cha LawAccess NSW kwa namba 1300 888 529 Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia asubuhi saa tatu hadi kumi na moja jioni.
Kwa Legal Aid in Victoria, piga 1300 792 387 katikati ya wiki kanzia saa 3 hadi 11jioni.
Kwa Legal Aid Queensland, piga 1300 65 11 88 Jumatatu hadi Ijumaa kanzia saa 3 hadi 10 jioni.
Kwa Legal Aid Western Australia, piga 1300 650 579 Jumatatu hadi Ijumaa kanzia saa 3 hadi 10 jioni.
Kwa Legal Aid ACT, piga 1300 654 314 Jumatatu hadi Ijumaa kanzia saa 3 hadi 10 jioni.
Kwa Legal Aid Commission of Tasmania, piga 1300 366 611 Jumatatu hadi Ijumaa kanzia saa 3 hadi 11 jioni.
Kwa Legal Services Commission of South Australia, piga 1300 366 424 Jumatatu hadi Ijumaa kanzia saa 3 asubuhi hadi 10:30 jioni.
Kwa Northern Territory Legal Aid Commission, piga 1800 019 343 Jumatatu hadi Ijumaa kanzia saa 2 asubuhi hadi 10:30 jioni.
Ikiwa unajisikia kufadhaika na unahitaji msaada wa kihemko, wapigie Beyondblue kitengo cha virusi vya corona huduma ya afya ya akili kwa namba 1800 512 348 au Lifeline kwa namba 13 11 14 wakati wowote wa mchana na usiku. Ikiwa unahitaji msaada wa lugha, piga namba 13 14 50 kwa ajili ya mkalimani na ulizia kuunganishwa na huduma unayohitaji.