Mwongozo wa Makazi: Jinsi mawakala wa uhamiaji wanavyo tumika nchini Australia

Wakala wa uhamiaji awahudumia wateja

Wakala wa uhamiaji awahudumia wateja Source: Getty Images

Waombaji viza waliokata tamaa sasa wanawageukia mawakala wa uhamiaji kama tumaini lao la maisha mapya hapa Australia.


Lakini kulingana na mawakala wengine waliosajiliwa wa uhamiaji, sio mawakala wote wanaoweza kuaminiwa.

Kanusho: Tafadhali kumbuka kuwa maoni yaliyotolewa katika nakala hii ni ushauri wa jumla tu na hayatumiki kwa hali zote. Ikiwa unahngaika na hali yako ya viza, ni bora utafute ushauri wa kisheria haraka iwezekanavyo.

Unaweza kufuatilia safari za uhamiaji za wahamiaji na familia kwenye mfululizo mpya wa kipindi cha SBS kwa sehemu nne kinajulikana kama "Nani Anapata Kubaki Australia?" Saa 2:30 usiku kila Jumatano.

Ikiwa unaamini kuwa umetapeliwa, unaweza kuripoti kesi yako kwa Ripoti ya Mtandaoni ya Mipaka. Watu nchini Australia lazima wakae umbali wa mita 1.5 kutoka kwa wengine. Fahamu zaidi vizuizi gani vimewekwa katika jimbo au kitongoji chako.

Upimaji wa virusi vya corona sasa unapatikana maeneo mengi sana hapa Australia. Ikiwa unapata dalili za homa au mafua, jipange kwa upimaji kwa kupiga simu kwa daktari wako au wasiliana na Nambari ya Taarifa za Afya za Virusi vya Corona kupitia namba 1800 020 080.


Share