Mwongozo wa Makazi: Afya ya kiakili ya wanaume na ustawi

Baba akiwa pamoja na watoto wake nyumbani

Baba akiwa pamoja na watoto wake nyumbani Source: Getty Images

Wanaume mara nyingi hufundishwa kuwa imara, bila kujali ni shida gani wanazokumbana nazo maishani.


Lakini ndoto za makazi mapya hapa Australia wakati mwingine zinaweza kubomoka kwani hisia zinakujia kwa nguvu na uhusiano wa kifamilia ukisambaratika. Wataalam wanasema kushiriki hisia zako sio udhaifu lakini ni ishara ya uimara.

Unaweza kujua zaidi juu ya mipango kama hiyo kutoka kwa Relationships Australia nchi nzima au kupiga simu namba 1300 364 277 kwa gharama ya simu ya kawaida. Wanaume walio na wasiwasi wa kiafya au uhusiano pia wanaweza kupiga simu ya MensLine Australia kupitia namba 1300 78 99 78 kwa usaidizi wa ushauri wa bure masaa 24 kwa siku.

Ikiwa unahitaji msaada wa lugha, piga Huduma ya Kitaifa ya Kutafsiri na Ukalimani kupitia namba hii 13 14 50 na uliza shirika lako lililoteuliwa.


Share