Kiongozi wa Victoria Daniel Andrews amesema, kufungwa kwa mpaka huo ni kitu bora chakufanya.
Mpaka kati yamajimbo ya New South Wales na Victoria kufungwa kuanzia usiku wa Jumanne

Victoria and New South Wales border Source: SBS
Mpaka kati ya jimbo la Victoria na New South Wales, utafungwa baada ya ongezeko ya visa vipya 127, vya coronavirsu kutambuliwa katika masaa 24 yaliyo pita jimboni Victoria.
Share