Hatua hiyo imejiri katika wiki ambapo jimbo la Victoria, linasalia na siku nne tu, kufikia ufafanuzi rasmi wakutokomeza COVID-19 katika jamii.
Mpaka kati ya majimbo ya New South Wales na Victoria wafunguliwa baada ya miezi tano

Wasafiri kutoka Melbourne, wakaribishwa katika uwanja wa ndege wa Sydney. Source: AAP
Maelfu yawa Australia wame tumia anga au barabara, baada ya mpaka kati ya jimbo la New South Wales na Victoria kufunguliwa tena, baada ya takriban miezi mitano au siku 137.
Share