Je spoti katika jamii itapona janga hili, ama ita imarika katika siku za usoni? na je ushindani katika mchezo utawahi kuwa kama kabla?
Watu wazima wengi wanaweza tazama ujana wao kwa furaha, walipokuwa wakishiriki katika michezo mingi. Kizazi cha leo cha watoto, wataweza tathmini mwaka wa 2020, kama wakati ambapo hawakuruhusiwa kushiriki katika michezo au, kama wakati waliacha kushiriki katika michezo, kwa ajili yakusaidia afya yawa australia wenzao.
Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu janga la coronavirus kwenye tovuti hii: sbs.com.au\coronavirus.