Hatua hiyo inalenga kuchukua nafasi ya sheria za vizuizi ambazo hazikuwa ngumu, ambazo kiongozi wa jimbo hilo amesema zimedumu kwa muda wa miezi.
Kiongozi wa Victoria Andrews amesema ataendela kujadili msaada wa mapato pamoja na hatua za biashara kuendelea kuwa namapato, katika mazungumzo atakayo fanya na waziri mkuu Scott Morrison. Afisa mkuu wa afya Brett Sutton naye amesema, matokeo ya hatua ya nne ya vizuizi yatabainika katika siku saba.
Unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus