Hata hivyo, kuna sheria kali za urithi na wakati zaidi ya 50% yawa Australia wanakufa bila wosia, mara nyingi mahakama hulazimishwa kuingilia kati.
Mtu anapo fariki, anaweza acha mali ambazo jamaa na marafiki hurithi. Mali hizo hujulikana kwa jina la ‘mali ya marehemu’ na, wanao pokea mali hiyo hujulikana kama wanufaika.