Martin: Asilimia 95 yawatu wanatekeleza wajibu wao kuzuia COVID-19 Melbourne

Victoria yaingia katika wiki ya tatu ya vizuizi vikali vyaku kabili COVID-19

Victoria yaingia katika wiki ya tatu ya vizuizi vikali vyaku kabili COVID-19 Source: AAP

Serikali ya jimbo la Victoria kwa ushirikiano na umma inaongoza kampeni yakuzuia usambaaji wa virusi vya COVID-19 jimboni humo.


Bw Martin ni mwanachama wa jamii ya wakenya wanao ishi Melbourne, katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, alitueleza jinsi jamii yake inakabiliana na hatua kali ambazo serikali imetangaza kudhibiti usambaaji wa COVID-19.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Share