Mabadiliko ya bahari au miti: Makala ya vidokezo vya kuhamia mikoani

Wazee watembea karibu ya bahari

Wazee watembea karibu ya bahari Source: Getty images/Joao Inacio

Mabadiliko ya bahari au miti ni ndoto ya Waaustralia wastaafu wengi, ambao hutafuta maisha ya polepole na yenye utulivu katika jamii ndogo ya pembezoni mwa bahari au jamii ya eneo la bara.


Inaonekana kwamba COVID-19 imeharakisha uamuzi wa watu wengi na data za hivi karibuni za ABS zinaonyesha kuwa miji mikuu ilipata hasara kubwa zaidi ya robo mwaka kwenye rekodi za mwezi Septemba uliopita kwa watu 11,000 wakielekea kwenye miji ya mikoani.

Hapa kuna vidokezo unavyopenda kuzingatia ikiwa unafikiria kuchukua hatua kubwa. Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Share