Ligi kuu yasoka ya Australia yajipata kwenye njiapanda

Kamau, De Silva, Garuccio

Wachezaji waligi kuu yasoka ya Australia Bruce Kamau (kushoto), Daniel De Silva (katikati) na Ben Garuccio Source: AAP

Vilabu 3 vya ligi kuu ya soka ya Australia vyakwama jimboni Victoria, baada ya mpaka wa New South Wales kufungwa.


Mchambuzi mkuu wa michezo wa Idhaa yakiswahili ya SBS, ameweka wazi masaibu yanayo kumba vilabu hivyo.


Share