Lakini kutokujua hali ya mazingira kunaweza kumuweka mtu kwenye hatari kubwa ya kuumia au hata kifo, na kuifanya hii iwe hatari zaidi.
Kwa vidokezo salama juu ya uvuvi wa miamba, angalia tovuti hizi: Recreational Fishing Alliance of NSW Surf Life Saving Bureau of Meteorology
RFA pia inapendekeza wavuvi kupakua Programu ya Dharura ya Australia na kutumia wakati wa matatizo, au piga simu namba 000 kwenye simu yako ya mkononi, na ueleze eneo lako halisi au vile vile shirikisha vielelezo vya GPS kupata msaada.