Ila the Voice ni nini na, hoja zaku unga mkono nakupinga hoja hizo ni gani? Katika mwaka wa 2017, viongozi 250 wajamii za asili kutoka sehemu zote nchini walijumuika Uluru. Hapo wali unda naku pitisha Kauli ya Uluru kutoka Moyoni.
Maneno haya rahisi lakin ya kishairi yaliomba vitu vitatu- Sauti, Mkataba na Ukweli.
Kura hiyo ya maoni inatarajiwa kufanyika wakati wowote kati ya Oktoba na Novemba, tarehe bado haija tangazwa. Kufanikiwa, kampeni ya ndio itahitaji wapiga kura wengi katika majimbo mengi, hatua ambayo ni ngumu kufikia.
Wanaharakati wamesema wana endelea kuwa na matarajio na wanaomba wa Australia wazingatie nia zao nzuri kutimiza kazi hiyo.