Taarifa hiyo imejiri wakati kura za maoni za mapema zina endelea kudokeza kushindwa kwa kampeni ya ndio Jumamosi.
Ila, wakati sehemu kubwa ya chama cha mseto wana unga mkono kampeni ya La, mbunge mmoja wa chama cha Liberal ame wahamasisha wapiga kura, akitumai kuwashawishi waunge mkono mageuzi.
Unaweza endelea kupata taarifa zinazo husu kura ya 2023 ya maoni ya the Voice bungeni kwenye mitandao ya SBS, pamoja na maoni yawa Australia wa kwanza kupitia NITV.
Tembelea tovuti ya SBS maalum ya kura ya maoni ya the Voice ambako utapata taarifa zilizo andikwa, video pamoja na makala yaliyo rekodiwa katika zaidi ya lugha 60, au unaweza fuatliwa taarifa na uchambuzi, pamoja na kupata burudani bure bila malipo, katika kituo cha kura ya maoni ya Voice katika mtandoa wa SBS On Demand.