Kufungiwa ndani kutokana na Uviko 19 kulivyoathiri wafanyabiashara

Empty tables are seen in front of the Sydney Opera House in Sydney.

Cases uncovered in the next few days will be critical in helping determine whether the NSW lockdown has to be extended. Source: AAP

Wakazi wa Jimbo la NSW hasa mji wa Syndey wameendelea kufungiwa ndani kwa kile kilichoelezewa na wananchi hao kuwa ni sheria ngumu ndefu kutokea nchini humu. SBS ilizungumza na mmoja wa wafanyabiashara Bw Hamisi Babu Kumbuka ambaye alidodosa kuhusiana na kufungiwa huko kunavyoathiri wafanyabiashara. Gonga hapa kusikiliza zaidi.



Share