Kuna shule nzuri katika sekta za serikali, umma nakidini, uamuzi wakuchagua shule sahihi unaweza kuwa mgumu kwa wazazi kufanya.
Wazazi wanataka fursa nzuri za elimu kwa watoto wao hata hivyo, maswala kama gharama, tamaduni ya shule au dini yanaweza fanya uchaguzi wa shule kuwa mgumu.
Mfumo wa shule wa Australia, ume gawanywa katika sekta tatu: Serikali (au shule zamajimbo), shule za kikatoliki na shule huru (au binafsi).
Unapo tazama chaguzi za shule, anza kwa rasilimali kama the Good Schools Guide (mwongozo wa shule nzuri) au tovuti ya My School kwa matoleo na kulinganisha.