Sherehe hiyo huandaliwa kila mwaka mwanzo wa Julai, NAIDOC ni fursa nzuri kwa wa Australia wote kujifunza kuhusu wa Australia wa kwanza.
Sherehe za NAIDOC huanza kila mwaka kwa usiku wa tuzo ambazo hutolewa Jumamosi Julai 1.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.