Kiongozi mteule wa Queensland Annastacia Palaszczuk awashukuru wapiga kura kumpa muhula wa tatu

Queensland Election

Kiongozi wa Queensland Annastacia Palaszczuk (kulia) amkumbatia babake Henry Palaszczuk, baada yakushinda uchaguzi wa jimbo la Queensland. Source: AAP

Kiongozi mpya mteule wa jimbo la Queensland Annastacia Palaszczuk, ametengeza historia kwakuwa mwanamke wakwanza kushinda awamu yatatu madarakani nchini Australia.


Chama cha Labor kinatarajiwa kurejea mamlakani kuunda serikali ya wengi jimboni Queensland, baada ya uchaguzi wa jimbo ambao ulitawaliwa naswala la usimamizi wajanga lakimataifa.

Share