Jitayarishe: Vidokezo rahisi ili kujiweka tayari na nyumba yako kwa msimu wa moto wa vichaka

Moto wa vichaka na barabara ya vumbi

Moto wa vichaka na barabara ya vumbi Source: Getty Images/John Crux Photography

Kusimamia hatari ya moto wa vichaka kwa nyumba yako na familia kunamaanisha, kuwa tayari. Wataalam wanashauri kwamba watu ambao wanaishi katika maeneo yanayokabiliwa na moto wa msitu wanahitaji mpango wa dharura. Mtayarishaji wetu Frank Mtao anafafanua zaidi.



Share