Jinsi yakuzuia visa vyakuzama majini

watu waruka majini

watu wajiburudisha majini Source: Shutterstock

Msimu wa majira ya joto ukiwa umeanza, mamlaka wana wahamasishwa waogeleaji wafanye tahadhari.


Takwimu zimeonesha kuwa katika msimu wa majira ya joto, idadi ya watu wanao zama huongezeka sana.

Bofya hapo juu usikize makala haya, ambayo yana taarifa kuhusu jinsi unaweza epuka visa hivi, pamoja nakuwasaidia wenzako kuepuka kuzama majini.


Share