Jinsi yakuwa mtetezi wa waAustralia wa Kwanza

Observing Indigenous cultural protocols

Source: Getty / Cameron Spencer/Getty Images

Kuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza.


Hapa kuna baadhi ya vitu vya kuzingatia kuhusiana na utetezi na “ushirika” na jumuiya zawa Australia wa Kwanza.

Wakati hakuna njia moja maalum yakuwa mshirika wa waAustralia wa kwanza, kuwakaribia na kuwajua watu hao ni hatua ya kwanza, kama katika mahusiano mengine.

Share