Hapa kuna vidokezo kwa wazazi kusaidia watoto wao kuingia katika mwaka mpya wa shule. Kwa taarifa na ushauri wa hivi karibuni wa serikali ya Australia juu ya COVID-19, tembelea www.australia.gov.au
Piga simu kwa Nambari ya Msaada ya Kitaifa ya Virusi vya Corona kwa nambari 1800 020 080 kwa taarifa zaidi juu ya virusi vya corona. Kwa usaidizi wa karibu unaolenga watoto na vijana walio chini ya umri wa miaka 25, piga simu kwa shirika la Kids Helpline kupitia namba 1800 55 1800.
Ikiwa unahitaji msaada wa lugha, piga simu kwa huduma ya kitaifa ya kutafsiri na ukalimani kwa 13 14 50 na uombe huduma unayohitaji.