Jinsi yakuomba nyongeza ya mshahara nchini Australia

AAP

Source: AAP

Kuomba uongezewe mshamahara kunaweza kuwa vigumu kwa wafanyakazi wengi ila si lazima iwe hivyo.


Unapo amini unasababu unastahili ongezwa mshahara, kuna namna zaku kusaidia kujiandaa kwa mazungumzo hayo na mwajiri wako, iwapo utayafanya pamoja na wafanyakazi wenza au wewe binafsi.

Nchini Australia, kutegemea na unako fanya kazi, kupokewa nyongeza ya mshahara kuna weza kuwa haki yako kisheria.

Ingawa sheria kuhusu kuongezeka kwa mishahara zinatofautiana katika sehemu za kazi, mikataba ya kazi kawaida huweka wazi mpangilio wa kuongezeka kwa mshahara kama sehemu ya tathmini ya utendaji wa kila mwaka wa mfanyakazi.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share