Jinsi yakujifunza Kiingereza bure nchini Australia

Mwalimu na wanafunzi darasani

Mwalimu na wanafunzi darasani Source: Getty Images

Serikali ya Australia inatoa mafunzo ya bure ya kiingereza, pamoja na ujuzi jumuishi wamakazi, ili wahamiaji waweze shiriki katika maisha ya Australia katika hali yenye maana.


Kupitia mageuzi mapya, wahamiaji wengi sasa wanaweza shiriki katika masomo ya Kiingereza kwa muda mrefu.

Kwa taarifa zaidi kuhusu mradi wa mafunzo ya kiingereza wa watu wazima, tembelea tovuti ya idara ya maswala ya nyumbani au wasiliana na shule ya TAFE unako ishi.


Share