Wakati wafanyakazi zaidi wakirudi makazini, swali ni je! Una wasiwasi juu ya kusafiri kwenda kazini na kutumia muda wako katika sehemu za pamoja?
Jinsi ya kurudi kwako kazini kwenye mazingira ya COVID-salama

Mfanyakazi atumia kitakasi akiwa amevaa barakoa ofisini Source: Getty Images
Utafiti mpya unaonyesha kwamba Waaustralia wawili kati ya watano wana wasiwasi juu ya usafi mahali pao pa kazi, wakati zaidi ya robo wamekuwa na wasiwasi juu ya vijidudu tangu kuanza kwa janga hili.
Share