Jinsi nilikabiliana nakushinda janga la COVID-19

Tests begin of COVID-19 vaccine at University of Queensland Source: AAP/UNIVERSITY OF QUEENSLAND POOL
Janga la COVID-19 lina endelea kusababisha maafa makubwa nchini Australia, na jamii yawatu wenye asili ya Afrika hawajapona janga hilo.
Share