Jinsi mipangilio ya COVID yakufanyia kazi nyumbani inaweza wasaidia watu wenye ulemavu

Eli El-Khoury Antonios alizaliwa na ulemavu wa cerebral palsy, amekabiliana na changamoto nyingi akitafuta kazi.

Eli El-Khoury Antonios alizaliwa na ulemavu wa cerebral palsy, amekabiliana na changamoto nyingi akitafuta kazi. Source: SBS

Janga la Covid-19 limesababisha wa Australia wengi, kufanya mipangilio yakufanyia kazi nyumbani.


Ila kwa watu wenye ulemavu, mageuzi haya yakurahisisha jinsi yakufanya kazi, ni hatua ambayo imesubiriwa kwa muda mrefu, wakati kufanyia kazi maofisini mara nyingi imekuwa ni kizuizi kikubwa.

Vikao vya tume yakifalme inayo chunguza maswala yawalemavu vita anza tarehe 18 hadi 21 Agosti. Tume hiyo itachunguza uzoefu wa walemavu wakati wa janga la COVID-19, baadhi yawatetezi wamesema ulimwengu wa kazi baada ya COVID-19, unaweza leta fursa.

Unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share