Wataalam wanapendekeza kuwa uchezaji wa michezo ya video unaweza kuwa jibu la kuweka unganisho la kizazi kati yako likiwa hai licha ya ukaaji mbali na watu.
Ungana na Mtayarishaji wetu Frank Mtao kwa maelezo zaidi juu ya hilo.
Source: Getty Images
SBS World News