Hivi ndivyo jinsi watu wanavyoelewa hisia za kuomboleza kwao ndani ya vizuizi vya COVID-19. Mwandishi wetu Frank Mtao hapo, akikamilisha taarifa ya Sarah Godfrey, mwanasaikolojia wa kliniki na mwenyekiti wa shirika la GriefLine.
Kwa ushauri wa bure wa uombolezaji au ushauri wa kukabiliana na kufiwa kwako, piga simu shirika la GriefLine. Kwa nambari nzuri ya kupiga kutoka jimbo lako au kitongoji chako, tembelea www.griefline.org.au Unaweza pia kupiga simu Beyond Blue kwa msaada wa karibu kupitia namba 1300 22 4636.
Ikiwa unahitaji msaada wa lugha, piga simu kwa Huduma ya kitaifa ya Utafsiri na Ukalimani kupitia namba 13 14 50.